Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 36:13 - Swahili Revised Union Version

13 Na hawa ni wana wa Reueli: Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Basemathi, mkewe Esau, alimzaa Reueli. Watoto wa kiume wa Reueli walikuwa Nahathi, Zera, Shama na Miza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Basemathi, mkewe Esau, alimzaa Reueli. Watoto wa kiume wa Reueli walikuwa Nahathi, Zera, Shama na Miza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Basemathi, mkewe Esau, alimzaa Reueli. Watoto wa kiume wa Reueli walikuwa Nahathi, Zera, Shama na Miza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Wana wa Reueli ni: Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hao walikuwa wajukuu wa Basemathi mkewe Esau.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Wana wa Reueli ni: Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Basemathi mkewe Esau.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 36:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Esau alipokuwa mwenye miaka arubaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.


Na Timna alikuwa suria wa Elifazi, mwana wa Esau; naye akamzalia Elifazi Amaleki. Hao ndio wana wa Ada, mkewe Esau.


Na hawa ni wana wa Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, mkewe Esau; akamzalia Esau, Yeushi, na Yalamu, na Kora.


Na hawa ni wana wa Reueli, mwanawe Esau; jumbe Nahathi, jumbe Zera, jumbe Shama, jumbe Miza. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Reueli katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Basemathi, mkewe Esau.


Wana wa Reueli; Nahathi, na Zera, na Shama, na Miza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo