Mwanzo 32:8 - Swahili Revised Union Version8 Akasema, Akija Esau kwa kundi la kwanza, akalipiga, kundi litakalosalia litaokoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 akifikiri, “Kama Esau akija na kuliangamiza kundi moja, basi, kundi litakalosalia litaponyoka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 akifikiri, “Kama Esau akija na kuliangamiza kundi moja, basi, kundi litakalosalia litaponyoka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 akifikiri, “Kama Esau akija na kuliangamiza kundi moja, basi, kundi litakalosalia litaponyoka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Yakobo alifikiri, “Kama Esau akija na kushambulia kundi moja, kundi lililobaki litanusurika.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Yakobo alifikiri, “Kama Esau akija na kushambulia kundi moja, kundi lililobaki litaweza likanusurika.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Akasema, Akija Esau kwa kundi la kwanza, akalipiga, kundi litakalosalia litaokoka. Tazama sura |