Mwanzo 32:23 - Swahili Revised Union Version23 Akawatwaa, akawavusha mto, akavusha na vyote alivyokuwa navyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Baada ya kuwavusha ngambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Baada ya kuwavusha ngambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Baada ya kuwavusha ng'ambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Baada ya kuwavusha ng’ambo ya kijito, alivusha pia mali yake yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Baada ya kuwavusha ng’ambo ya kijito, alivusha pia mali zake zote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Akawatwaa, akawavusha mto, akavusha na vyote alivyokuwa navyo. Tazama sura |