Mwanzo 32:2 - Swahili Revised Union Version2 Naye Yakobo alipowaona, alisema, Hili ni jeshi la Mungu. Akapaita mahali pale, Mahanaimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Yakobo alipowaona, akasema, “Hili ni jeshi la Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali hapo Mahanaimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Yakobo alipowaona, akasema, “Hili ni jeshi la Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali hapo Mahanaimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Yakobo alipowaona, akasema, “Hili ni jeshi la Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali hapo Mahanaimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Yakobo alipowaona, akasema, “Hii ni kambi ya Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali pale Mahanaimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Yakobo alipowaona, akasema, “Hii ni kambi ya Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali pale Mahanaimu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Naye Yakobo alipowaona, alisema, Hili ni jeshi la Mungu. Akapaita mahali pale, Mahanaimu. Tazama sura |