Mwanzo 32:15 - Swahili Revised Union Version15 ngamia wanyonyeshao thelathini pamoja na wana wao, ng'ombe majike arubaini na mafahali kumi; punda wake ishirini na wana wao kumi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 ngamia 30 wanyonyeshao pamoja na ndama wao, ng'ombe majike 40 na mafahali kumi, na punda majike 20 na madume kumi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 ngamia 30 wanyonyeshao pamoja na ndama wao, ng'ombe majike 40 na mafahali kumi, na punda majike 20 na madume kumi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 ngamia 30 wanyonyeshao pamoja na ndama wao, ng'ombe majike 40 na mafahali kumi, na punda majike 20 na madume kumi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 ngamia jike thelathini pamoja na ndama zao, ng’ombe arobaini na mafahali kumi, punda jike ishirini, na punda wa kiume kumi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ngamia wake thelathini pamoja na ndama zao, ng’ombe wake arobaini na mafahali kumi, punda wake ishirini na punda waume kumi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 ngamia wanyonyeshao thelathini pamoja na wana wao, ng'ombe majike arobaini na mafahali kumi; punda majike ishirini na wana wao kumi. Tazama sura |