Mwanzo 31:4 - Swahili Revised Union Version4 Yakobo akatuma watu ili kuwaita Raheli na Lea waje malishoni kwenye mifugo wake. Akawaambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi Yakobo akataka Raheli na Lea waitwe; nao wakamwendea mbugani alikokuwa anachunga wanyama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi Yakobo akataka Raheli na Lea waitwe; nao wakamwendea mbugani alikokuwa anachunga wanyama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi Yakobo akataka Raheli na Lea waitwe; nao wakamwendea mbugani alikokuwa anachunga wanyama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hivyo Yakobo akatuma ujumbe kwa Raheli na Lea waje malishoni kwenye makundi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hivyo Yakobo akatuma ujumbe kwa Raheli na Lea waje machungani yalikokuwa makundi yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Yakobo akatuma watu ili kuwaita Raheli na Lea waje malishoni kwenye mifugo wake. Akawaambia, Tazama sura |