Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 31:16 - Swahili Revised Union Version

16 Maana mali yote ambayo Mungu amemnyang'anya baba yetu, mali hiyo ndiyo yetu na ya wana wetu. Basi, yoyote Mungu aliyokuambia, uyafanye.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Mali yote ambayo Mungu ameichukua kutoka kwa baba yetu ni yetu sisi na watoto wetu. Kwa hiyo, fanya hayo aliyokuagiza Mungu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Mali yote ambayo Mungu ameichukua kutoka kwa baba yetu ni yetu sisi na watoto wetu. Kwa hiyo, fanya hayo aliyokuagiza Mungu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Mali yote ambayo Mungu ameichukua kutoka kwa baba yetu ni yetu sisi na watoto wetu. Kwa hiyo, fanya hayo aliyokuagiza Mungu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Hakika utajiri wote ambao Mungu ameuchukua kutoka kwa baba yetu ni mali yetu na watoto wetu. Hivyo fanya lolote lile Mungu alilokuambia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Hakika utajiri wote ambao Mungu ameuchukua kutoka kwa baba yetu ni mali yetu na watoto wetu. Hivyo fanya lolote lile Mungu alilokuambia.”

Tazama sura Nakili

Mwanzo 31:16
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi akatoa siku ile mbuzi dume walio na milia na madoadoa, na mbuzi wake walio na madoadoa na marakaraka, kila aliye na doa jeupe, na kondoo wote waliokuwa weusi, akawatia mikononi mwa wanawe.

Hakutufanya kama wageni, maana ametuuza, naye amekula fedha zetu kabisa?

Ndipo Yakobo akaondoka, akapandisha wanawe na wakeze juu ya ngamia.

Hivi Mungu akamnyang'anya mali yake baba yenu, na kunipa mimi.

mbuzi majike mia mbili, mbuzi dume ishirini, kondoo majike mia mbili, na kondoo dume ishirini;

Sikia, binti, utazame, utege sikio lako, Uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo