Mwanzo 30:34 - Swahili Revised Union Version34 Labani akasema, Tazama, na iwe hivi kama usemavyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Labani akasema, “Vema! Na iwe kama ulivyosema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Labani akasema, “Vema! Na iwe kama ulivyosema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Labani akasema, “Vema! Na iwe kama ulivyosema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Labani akasema, “Ninakubali; na iwe kama ulivyosema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Labani akasema, “Ninakubali na iwe kama ulivyosema.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Labani akasema, Tazama, na iwe hivi kama usemavyo. Tazama sura |