Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 30:17 - Swahili Revised Union Version

17 Mungu akamsikia Lea, naye akapata mimba, akamzalia Yakobo mwana wa tano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mungu akasikiliza ombi la Lea, naye akapata mimba na kumzalia Yakobo mtoto wa tano wa kiume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mungu akasikiliza ombi la Lea, naye akapata mimba na kumzalia Yakobo mtoto wa tano wa kiume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mungu akasikiliza ombi la Lea, naye akapata mimba na kumzalia Yakobo mtoto wa tano wa kiume.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba, akamzalia Yakobo mwana wa tano.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba akamzalia Yakobo mwana wa tano.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Mungu akamsikia Lea, naye akapata mimba, akamzalia Yakobo mwana wa tano.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 30:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yakobo akaja kutoka kondeni jioni, Lea akatoka kumlaki, akasema, Lazima uje kwangu, kwa sababu nimekukodi, kwa tunguja za mwanangu; akalala kwake usiku ule.


Lea akasema, Mungu amenipa ujira wangu, kwa sababu nimempa mume wangu mjakazi wangu. Akamwita jina lake Isakari.


Mungu akamkumbuka Raheli; Mungu akamsikia, akamfungua tumbo.


Raheli akasema, Mungu amenipa haki yangu, naye amesikia sauti yangu, akanipa mwana. Kwa hiyo akamwita jina lake Dani.


BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;


Lakini yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mkeo Elisabeti atakuzalia mtoto wa kiume, na jina lake utamwita Yohana.


Ikawa, wakati ulipowadia, Hana akachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume; akamwita Samweli, akisema, Kwa kuwa nimemwomba kwa BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo