Mwanzo 28:3 - Swahili Revised Union Version3 Na Mungu Mwenyezi, akubariki, akuzidishe, na kukuongeza, ili uwe mtu wa watu wengi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mungu mwenye nguvu na akubariki upate wazawa wengi na kuongezeka, ili uwe jamii kubwa ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mungu mwenye nguvu na akubariki upate wazawa wengi na kuongezeka, ili uwe jamii kubwa ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mungu mwenye nguvu na akubariki upate wazawa wengi na kuongezeka, ili uwe jamii kubwa ya watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mungu Mwenyezi na akubariki, uwe na uzao, uongezeke idadi yako hadi upate kuwa jamii kubwa ya watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mwenyezi Mungu na akubariki uwe na uzao uongezeke idadi yako upate kuwa jamii kubwa ya watu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Na Mungu Mwenyezi, akubariki, akuzidishe, na kukuongeza, ili uwe mtu wa watu wengi. Tazama sura |