Mwanzo 28:14 - Swahili Revised Union Version14 Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: magharibi, mashariki, kaskazini na kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi na mashariki, kaskazini na kusini. Kupitia wewe na uzao wako, mataifa yote ya duniani yatabarikiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi na mashariki, kaskazini na kusini. Kupitia wewe na uzao wako mataifa yote ya duniani yatabarikiwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa. Tazama sura |