Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 27:5 - Swahili Revised Union Version

5 Na Rebeka akasikia, Isaka aliposema na Esau mwanawe. Basi Esau akaenda mbugani awinde mawindo, ayalete.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Kumbe, wakati huo Isaka alipokuwa akiongea na Esau mwanawe, Rebeka alikuwa anasikiliza. Kwa hiyo, Esau alipokwenda porini kuwinda,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Kumbe, wakati huo Isaka alipokuwa akiongea na Esau mwanawe, Rebeka alikuwa anasikiliza. Kwa hiyo, Esau alipokwenda porini kuwinda,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Kumbe, wakati huo Isaka alipokuwa akiongea na Esau mwanawe, Rebeka alikuwa anasikiliza. Kwa hiyo, Esau alipokwenda porini kuwinda,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Rebeka alikuwa akisikiliza Isaka akizungumza na mwanawe Esau. Basi Esau alipoenda nyikani kuwinda mawindo ayalete,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Basi Rebeka alikuwa akisikiliza Isaka alipokuwa akizungumza na mwanawe Esau. Esau alipoondoka kwenda nyikani kuwinda nyama pori na kuleta,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Na Rebeka akasikia, Isaka aliposema na Esau mwanawe. Basi Esau akaenda nyikani awinde mawindo, ayalete.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 27:5
2 Marejeleo ya Msalaba  

ukaniandalie chakula kitamu namna ile niipendayo, ukaniletee, ili nile; na roho yangu ikubariki, kabla sijafa.

Rebeka akamwambia Yakobo mwanawe, akisema, Angalia, nimemsikia baba yako akisema na Esau, ndugu yako, akinena,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo