Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 27:39 - Swahili Revised Union Version

39 Isaka, baba yake, akajibu, akamwambia, Angalia, penye manono ya nchi patakuwa makao yako, Na penye umande wa mbingu unaotoka juu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Ndipo Isaka, baba yake, akamwambia, “Makao yako yatakuwa mbali na ardhi yenye rutuba, na mbali na umande wa mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Ndipo Isaka, baba yake, akamwambia, “Makao yako yatakuwa mbali na ardhi yenye rutuba, na mbali na umande wa mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Ndipo Isaka, baba yake, akamwambia, “Makao yako yatakuwa mbali na ardhi yenye rutuba, na mbali na umande wa mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Baba yake Isaka akamjibu, “Makao yako yatakuwa mbali na utajiri wa dunia, mbali na umande wa mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Baba yake Isaka akamjibu, akamwambia, “Makao yako yatakuwa mbali na utajiri wa dunia, mbali na umande wa mbinguni juu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

39 Isaka, baba yake, akajibu, akamwambia, Angalia, penye manono ya nchi patakuwa makao yako, Na penye umande wa mbingu unaotoka juu.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 27:39
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akakaribia akambusu. Naye akasikia harufu ya mavazi yake, akambariki akasema, Tazama, harufu ya mwanangu Ni kama harufu ya shamba alilolibariki Bwana.

Mungu na akupe ya umande wa mbingu, Na manono ya nchi, Na wingi wa nafaka na mvinyo.

Esau akasema, Ninayo tele, ndugu yangu, hifadhi uliyo nayo yawe yako.

Na Yusufu akamnena, Nchi yake na ibarikiwe na BWANA; Kwa vitu vya thamani vya mbinguni, kwa huo umande, Na kwa kilindi kilalacho chini,

Na Israeli anakaa salama, Chemchemi ya Yakobo peke yake, Katika nchi ya ngano na divai; Naam, mbingu zake zadondoza umande.

Kwa imani Isaka akawabariki Yakobo na Esau, hata kuhusu mambo yatakayokuwa baadaye.

Kisha nikampa huyo Isaka, Yakobo na Esau; nami nikampa Esau mlima Seiri aumiliki; Yakobo na watoto wake wakashuka Misri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo