Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 27:26 - Swahili Revised Union Version

26 Isaka, baba yake, akamwambia, Njoo karibu sasa, ukanibusu, mwanangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Ndipo Isaka baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kisha Isaka baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

26 Isaka, baba yake, akamwambia, Njoo karibu sasa, ukanibusu, mwanangu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 27:26
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Niletee karibu nami nipate kula mawindo ya mwanangu, ili roho yangu ikubariki. Akamsogezea karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.


Akakaribia akambusu. Naye akasikia harufu ya mavazi yake, akambariki akasema, Tazama, harufu ya mwanangu Ni kama harufu ya shamba alilolibariki Bwana.


Yakobo akambusu Raheli, akalia kwa sauti.


Basi Yoabu akamwendea mfalme, akamwambia hayo, naye alipomwita Absalomu, yeye akaja kwa mfalme, akainama kifudifudi hadi chini mbele ya mfalme; naye mfalme akambusu Absalomu.


Kubusu na anibusu kwa kinywa chake. Maana pendo lako lapita divai;


Mara akamwendea Yesu, akasema, Salamu, Rabi, akambusu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo