Mwanzo 26:9 - Swahili Revised Union Version9 Abimeleki akamwita Isaka, akasema, Yakini huyu ni mkeo, mbona ulisema, Ni dada yangu huyu? Isaka akamwambia, Kwa sababu nilisema, Nisife kwa ajili yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Abimeleki akamwita Isaka na kumwambia, “Kumbe huyo ni mke wako! Mbona ulisema ni dada yako?” Isaka akajibu, “Kwa kuwa niliogopa kwamba ningeuawa kwa sababu yake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Abimeleki akamwita Isaka na kumwambia, “Kumbe huyo ni mke wako! Mbona ulisema ni dada yako?” Isaka akajibu, “Kwa kuwa niliogopa kwamba ningeuawa kwa sababu yake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Abimeleki akamwita Isaka na kumwambia, “Kumbe huyo ni mke wako! Mbona ulisema ni dada yako?” Isaka akajibu, “Kwa kuwa niliogopa kwamba ningeuawa kwa sababu yake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Abimeleki akamwita Isaka, akamwambia, “Hakika huyu ni mke wako! Mbona uliniambia, ‘Huyu ni dada yangu’?” Isaka akamjibu, “Kwa sababu nilifikiri ningeweza kuuawa kwa sababu yake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Abimeleki akamwita Isaka akamwambia, “Hakika huyu ni mke wako! Mbona uliniambia, ‘Huyu ni dada yangu?’ ” Isaka akamjibu, “Kwa sababu nilifikiri ningeweza kuuawa kwa sababu yake.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Abimeleki akamwita Isaka, akasema, Yakini huyu ni mkeo, mbona ulisema, Ni dada yangu huyu? Isaka akamwambia, Kwa sababu nilisema, Nisife kwa ajili yake. Tazama sura |