Mwanzo 26:5 - Swahili Revised Union Version5 Kwa sababu Abrahamu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, na amri zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 kwa sababu Abrahamu alinitii mimi, akazingatia maagizo yangu, amri zangu, masharti yangu na sheria zangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 kwa sababu Abrahamu alinitii mimi, akazingatia maagizo yangu, amri zangu, masharti yangu na sheria zangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 kwa sababu Abrahamu alinitii mimi, akazingatia maagizo yangu, amri zangu, masharti yangu na sheria zangu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 kwa sababu Ibrahimu alinitii mimi, na akatenda yote niliyomwagiza, akahifadhi amri zangu, na hukumu zangu, pamoja na sheria zangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 kwa sababu Ibrahimu alinitii mimi akatunza kanuni zangu na maagizo yangu, amri zangu pamoja na sheria zangu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kwa sababu Abrahamu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, na amri zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu. Tazama sura |