Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 23:7 - Swahili Revised Union Version

7 Abrahamu akaondoka, akainama mbele ya watu wa nchi, mbele ya hao wazawa wa Hethi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Hapo Abrahamu akasimama na kuinama kwa heshima mbele ya wananchi Wahiti,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Hapo Abrahamu akasimama na kuinama kwa heshima mbele ya wananchi Wahiti,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Hapo Abrahamu akasimama na kuinama kwa heshima mbele ya wananchi Wahiti,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Ibrahimu akainuka, akasujudu mbele ya Wahiti, wenyeji wa nchi hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Ibrahimu akainuka na akasujudu mbele ya wenyeji wa nchi, yaani Wahiti.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Abrahamu akaondoka, akainama mbele ya watu wa nchi, mbele ya hao wazawa wa Hethi.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 23:7
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kanaani akamzaa Sidoni, mwanawe wa kwanza, na Hethi,


Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka chini,


Basi, wale malaika wawili wakaja Sodoma jioni; na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma. Lutu akawaona akaondoka akaenda kuwalaki, akainama kifudifudi.


Abrahamu akainama mbele ya watu wa nchi.


Utusikie, Ee bwana, ndiwe mtu mkuu sana kwetu, uzike maiti wako katika kaburi lile utakalochagua katika makaburi yetu. Hapana mtu kwetu atakayekuzuilia kaburi lake, usizike maiti wako.


Naye akazungumza nao, akisema, Ikiwa nia yenu nimzike maiti wangu atoke mbele yangu, mnisikie, mkaniombee kwa Efroni mwana wa Sohari,


Yusufu akawatoa katika magoti yake, naye akainama kifudifudi


Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa maangamizi yake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.


Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;


Neno la mwisho ni hili; muwe na nia moja, wenye kuhurumiana, wenye kupendana kama ndugu, wasikitikivu, wanyenyekevu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo