Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 23:15 - Swahili Revised Union Version

15 Bwana wangu, unisikilize. Sehemu ya nchi, ambayo thamani yake ni shekeli za fedha mia nne, ni nini hii baina yako na yangu? Basi uzike maiti wako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 shamba lenye thamani ya shekeli 400 tu za fedha ni nini kati yako na mimi? Mzike marehemu mke wako.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 shamba lenye thamani ya shekeli 400 tu za fedha ni nini kati yako na mimi? Mzike marehemu mke wako.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 shamba lenye thamani ya shekeli 400 tu za fedha ni nini kati yako na mimi? Mzike marehemu mke wako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli mia nne za fedha, lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli 400 za fedha, lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Bwana wangu, unisikilize. Sehemu ya nchi, ambayo thamani yake ni shekeli za fedha mia nne, ni nini hii baina yako na yangu? Basi uzike maiti wako.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 23:15
6 Marejeleo ya Msalaba  

Efroni akamjibu Abrahamu, akamwambia,

Akainunua sehemu ya nchi, alipopiga hema yake, kwa mkono wa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa vipande mia moja vya fedha.

Hakika kuna shimo wachimbako fedha, Na mahali wapatapo dhahabu waisafishayo.

Nacho watakachotoa ni hiki, kila mtu apitaye kwa wale waliohesabiwa atatoa nusu shekeli kwa kuiandama shekeli ya mahali patakatifu; (shekeli ni gera ishirini;) nusu shekeli kwa sadaka ya BWANA.

Matajiri hawataleta zaidi, wala maskini hawataleta kilichopungua, katika hiyo nusu shekeli, watakapotoa hiyo sadaka ya BWANA, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zenu.

Nayo shekeli itakuwa gera ishirini; shekeli tano zitakuwa shekeli tano, shekeli kumi zitakuwa kumi, na shekeli hamsini zitakuwa mane yenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo