Mwanzo 23:12 - Swahili Revised Union Version12 Abrahamu akainama mbele ya watu wa nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Abrahamu akainama tena kwa heshima mbele ya wananchi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Abrahamu akainama tena kwa heshima mbele ya wananchi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Abrahamu akainama tena kwa heshima mbele ya wananchi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ibrahimu akasujudu tena mbele ya wenyeji wa nchi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ibrahimu akasujudu tena, mbele ya wenyeji wa nchi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Abrahamu akainama mbele ya watu wa nchi. Tazama sura |