Mwanzo 22:19 - Swahili Revised Union Version19 Basi Abrahamu akawarudia vijana wake, wakaondoka, wakaenda zao pamoja mpaka Beer-sheba; Abrahamu akakaa huko Beer-sheba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, Abrahamu akawarudia wale watumishi wake, nao kwa pamoja wakaondoka, wakarudi Beer-sheba; Abrahamu akakaa huko Beer-sheba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, Abrahamu akawarudia wale watumishi wake, nao kwa pamoja wakaondoka, wakarudi Beer-sheba; Abrahamu akakaa huko Beer-sheba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, Abrahamu akawarudia wale watumishi wake, nao kwa pamoja wakaondoka, wakarudi Beer-sheba; Abrahamu akakaa huko Beer-sheba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ndipo Ibrahimu akawarudia watumishi wake, wakaondoka wote, wakaenda hadi Beer-Sheba. Naye Ibrahimu akaishi huko Beer-Sheba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ndipo Ibrahimu akawarudia watumishi wake, wakaondoka wakaenda wote pamoja mpaka Beer-Sheba. Ibrahimu akaishi huko Beer-Sheba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Basi Abrahamu akawarudia vijana wake, wakaondoka, wakaenda zao pamoja mpaka Beer-sheba; Abrahamu akakaa huko Beer-sheba. Tazama sura |