Mwanzo 22:15 - Swahili Revised Union Version15 Malaika wa BWANA akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Basi malaika wa Mwenyezi Mungu akamwita Ibrahimu kutoka mbinguni mara ya pili, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Basi malaika wa bwana akamwita Ibrahimu kutoka mbinguni mara ya pili, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Malaika wa BWANA akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni Tazama sura |