Mwanzo 22:10 - Swahili Revised Union Version10 Abrahamu akanyosha mkono wake, akakitwaa kisu ili amchinje mwanawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Abrahamu akaunyosha mkono wake, akatwaa kisu tayari kumchinja mwanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Abrahamu akaunyosha mkono wake, akatwaa kisu tayari kumchinja mwanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Abrahamu akaunyosha mkono wake, akatwaa kisu tayari kumchinja mwanawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kisha akanyoosha mkono wake na akachukua kisu ili amchinje mwanawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kisha akanyoosha mkono wake na akachukua kisu ili amchinje mwanawe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Abrahamu akanyosha mkono wake, akakitwaa kisu ili amchinje mwanawe. Tazama sura |