Mwanzo 21:15 - Swahili Revised Union Version15 Yale maji yalipoisha katika kiriba, Hajiri akamlaza kijana kichakani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Ikawa maji yalipomwishia katika kile kiriba, Hagari akamlaza mwanawe chini ya mti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Ikawa maji yalipomwishia katika kile kiriba, Hagari akamlaza mwanawe chini ya mti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Ikawa maji yalipomwishia katika kile kiriba, Hagari akamlaza mwanawe chini ya mti. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Maji yalipokwisha kwenye kiriba, Hajiri akamwacha kijana chini ya kichaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Maji yalipokwisha kwenye kiriba, akamwacha kijana chini ya mojawapo ya vichaka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Yale maji yalipoisha katika kiriba, Hajiri akamlaza kijana kichakani. Tazama sura |