Mwanzo 21:13 - Swahili Revised Union Version13 Naye mwana wa mjakazi nitamfanya kuwa taifa, maana huyu naye ni uzao wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Na kuhusu huyo mwana wa mjakazi wako, nitamfanya awe baba wa taifa kubwa kwa kuwa yeye pia ni mtoto wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Na kuhusu huyo mwana wa mjakazi wako, nitamfanya awe baba wa taifa kubwa kwa kuwa yeye pia ni mtoto wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Na kuhusu huyo mwana wa mjakazi wako, nitamfanya awe baba wa taifa kubwa kwa kuwa yeye pia ni mtoto wako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Nitamfanya huyu mwana wa mjakazi wako kuwa taifa pia, kwa sababu naye ni uzao wako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Nitamfanya huyu mwana wa mtumishi wako wa kike kuwa taifa pia, kwa sababu naye ni uzao wako.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Naye mwana wa mjakazi nitamfanya kuwa taifa, maana huyu naye ni uzao wako. Tazama sura |