Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 21:11 - Swahili Revised Union Version

11 Na neno hilo lilikuwa baya sana machoni pa Abrahamu, kwa ajili ya mwanawe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa kuwa Ishmaeli pia alikuwa mtoto wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa kuwa Ishmaeli pia alikuwa mtoto wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa kuwa Ishmaeli pia alikuwa mtoto wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Jambo hili lilimhuzunisha sana Ibrahimu kwa sababu lilimhusu mwanawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Jambo hili lilimhuzunisha sana Ibrahimu kwa sababu lilimhusu mwanawe.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Na neno hilo lilikuwa baya sana machoni pa Abrahamu, kwa ajili ya mwanawe.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 21:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.

Mungu akamwambia Abrahamu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.

Naye mfalme akataabika sana, akapanda juu, akaingia kile chumba kilichokuwa juu ya lango, akalia; na katika kwenda kwake alisema hivi, Mwanangu Absalomu! Ee mwanangu! Mwanangu Absalomu! Laiti ningalikufa badala yako, Absalomu, mwanangu, mwanangu!

Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.

Kila adhabu wakati wake haionekani kuwa kitu cha furaha, bali cha huzuni; lakini baadaye huwaletea wao waliozoeshwa nayo matunda ya haki yenye amani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo