Mwanzo 20:10 - Swahili Revised Union Version10 Abimeleki akamwambia Abrahamu, Umeona nini hata ukatenda jambo hili? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Tena Abimeleki akazidi kumwuliza, “Ni kitu gani kimekusukuma kufanya hivyo?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Tena Abimeleki akazidi kumwuliza, “Ni kitu gani kimekusukuma kufanya hivyo?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Tena Abimeleki akazidi kumwuliza, “Ni kitu gani kimekusukuma kufanya hivyo?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Abimeleki akamuuliza Ibrahimu, “Ulikuwa na kusudi gani kufanya hivi?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Abimeleki akamuuliza Ibrahimu, “Ulikuwa na kusudi gani kufanya hivi?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Abimeleki akamwambia Abrahamu, Umeona nini hata ukatenda jambo hili? Tazama sura |