Mwanzo 2:6 - Swahili Revised Union Version6 maji yakapanda katika nchi, yakatia unyevu juu ya uso wote wa ardhi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hata hivyo, maji yalitoka ardhini yakainywesha ardhi yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hata hivyo, maji yalitoka ardhini yakainywesha ardhi yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hata hivyo, maji yalitoka ardhini yakainywesha ardhi yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 lakini umande ulitokeza kutoka ardhini na kunyesha uso wote wa nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 lakini umande ulitokeza kutoka ardhini na kunyesha uso wote wa nchi: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 maji yakapanda katika nchi, yakatia unyevu juu ya uso wote wa ardhi. Tazama sura |