Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 2:20 - Swahili Revised Union Version

20 Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Basi, huyo mwanamume akawapa majina wanyama wote wa kufugwa, wanyama wa porini na ndege wote wa angani. Lakini hakupatikana msaidizi yeyote wa kumfaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Basi, huyo mwanamume akawapa majina wanyama wote wa kufugwa, wanyama wa porini na ndege wote wa angani. Lakini hakupatikana msaidizi yeyote wa kumfaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Basi, huyo mwanamume akawapa majina wanyama wote wa kufugwa, wanyama wa porini na ndege wote wa angani. Lakini hakupatikana msaidizi yeyote wa kumfaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Hivyo Adamu akawapa majina mifugo wote, ndege wa angani, na wanyama pori wote. Lakini kwa Adamu hakupatikana msaidizi wa kumfaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Hivyo Adamu akawapa majina wanyama wote wa kufugwa, ndege wa angani, na wanyama wote wa porini. Lakini kwa Adamu hakupatikana msaidizi wa kumfaa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

20 Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 2:20
3 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

BWANA Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,

Kondoo, na ng'ombe wote pia; Naam, na wanyama wa porini;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo