Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 19:10 - Swahili Revised Union Version

10 Lakini wale watu wakanyosha mikono yao, wakamwingiza Lutu kwao nyumbani, wakaufunga mlango.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Lakini wale wageni wakanyosha mikono yao, wakamvuta Loti ndani ya nyumba na kuufunga mlango.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Lakini wale wageni wakanyosha mikono yao, wakamvuta Loti ndani ya nyumba na kuufunga mlango.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Lakini wale wageni wakanyosha mikono yao, wakamvuta Loti ndani ya nyumba na kuufunga mlango.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Lakini wanaume wale waliokuwa ndani wakanyoosha mikono yao, wakamvuta Lutu ndani ya nyumba na kuufunga mlango.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Lakini watu wale waliokuwa ndani wakanyoosha mkono wakamvuta Lutu ndani ya nyumba na kufunga mlango.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Lakini wale watu wakanyosha mikono yao, wakamwingiza Lutu kwao nyumbani, wakaufunga mlango.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 19:10
2 Marejeleo ya Msalaba  

Basi, wale malaika wawili wakaja Sodoma jioni; na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma. Lutu akawaona akaondoka akaenda kuwalaki, akainama kifudifudi.

Kisha wakawapiga hao watu walioko mlangoni kwa upofu, wadogo kwa wakubwa, hata wakashindwa kuupata mlango.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo