Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 17:9 - Swahili Revised Union Version

9 Mungu akamwambia Abrahamu, Nawe ulishike agano langu, wewe, uzao wako na vizazi vyao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kisha Mungu akamwambia Abrahamu, “Kwa upande wako, wewe utalishika agano langu, wewe binafsi, wazawa wako na vizazi vyao vyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kisha Mungu akamwambia Abrahamu, “Kwa upande wako, wewe utalishika agano langu, wewe binafsi, wazawa wako na vizazi vyao vyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kisha Mungu akamwambia Abrahamu, “Kwa upande wako, wewe utalishika agano langu, wewe binafsi, wazawa wako na vizazi vyao vyote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ndipo Mungu akamwambia Ibrahimu, “Kwako wewe, lazima ushike agano langu, wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ndipo Mungu akamwambia Ibrahimu, “Kwa upande wako, lazima ushike Agano langu, wewe na wazao wako kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Mungu akamwambia Abrahamu, Nawe ulishike agano langu, wewe, uzao wako na vizazi vyao.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 17:9
6 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akamtwaa Ishmaeli mwanawe, na wote waliozaliwa nyumbani mwake, na wote walionunuliwa kwa fedha yake, wanaume wote wa watu wa nyumba ya Abrahamu, akawatahiri nyama ya magovi yao siku ile ile, kama Mungu alivyomwambia.

Kwa maana nimemchagua ili awaamuru wanawe na vizazi vyake baada yake wadumishe njia ya BWANA, kwa kuwa wenye haki na kweli, ili BWANA naye akamtimizie Abrahamu ahadi zake.

Kwa wale walishikao agano lake, Na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.

Njia zote za BWANA ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake.

Sasa basi ikiwa mtaitii sauti yangu kweli kweli, na kulishika agano langu, hapo ndipo mtakapokuwa tunu kwangu kuliko makabila yote ya watu; maana dunia yote pia ni mali yangu,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo