Mwanzo 17:18 - Swahili Revised Union Version18 Abrahamu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Basi, Abrahamu akamwambia Mungu, “Laiti ungekubali ahadi yako hiyo imhusu Ishmaeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Basi, Abrahamu akamwambia Mungu, “Laiti ungekubali ahadi yako hiyo imhusu Ishmaeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Basi, Abrahamu akamwambia Mungu, “Laiti ungekubali ahadi yako hiyo imhusu Ishmaeli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ibrahimu akamwambia Mungu, “Laiti Ishmaeli naye angeshiriki baraka yako!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ibrahimu akamwambia Mungu, “Laiti Ishmaeli naye angeshiriki baraka yako!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Abrahamu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako. Tazama sura |