Mwanzo 17:14 - Swahili Revised Union Version14 Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mwanamume yeyote asiyetahiriwa atatengwa na watu, kwani atakuwa amevunja agano langu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mwanamume yeyote asiyetahiriwa atatengwa na watu, kwani atakuwa amevunja agano langu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mwanamume yeyote asiyetahiriwa atatengwa na watu, kwani atakuwa amevunja agano langu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kila mwanaume asiyetahiriwa, ambaye hajapata tohara ya mwilini, atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kila mwanaume asiyetahiriwa, ambaye hajapata tohara ya mwilini, atatengwa na watu wake, amelivunja Agano langu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu. Tazama sura |