Mwanzo 13:15 - Swahili Revised Union Version15 maana nchi hii yote uionayo, nitakupa wewe na uzao wako hata milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nchi hii yote unayoiona nitakupa wewe na wazawa wako iwe yenu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nchi hii yote unayoiona nitakupa wewe na wazawa wako iwe yenu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nchi hii yote unayoiona nitakupa wewe na wazawa wako iwe yenu milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 maana nchi hii yote uionayo, nitakupa wewe na uzao wako hata milele. Tazama sura |