Mwanzo 13:13 - Swahili Revised Union Version13 Lakini watu wa Sodoma walikuwa wabaya, wenye kufanya dhambi nyingi sana juu ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Watu wa Sodoma walikuwa waovu na watenda dhambi wakuu dhidi ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Watu wa Sodoma walikuwa waovu na watenda dhambi wakuu dhidi ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Watu wa Sodoma walikuwa waovu na watenda dhambi wakuu dhidi ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Basi watu wa Sodoma walikuwa waovu, wakitenda dhambi nyingi dhidi ya Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Basi watu wa Sodoma walikuwa waovu, wakifanya sana dhambi dhidi ya bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Lakini watu wa Sodoma walikuwa wabaya, wenye kufanya dhambi nyingi sana juu ya BWANA. Tazama sura |