Mwanzo 11:32 - Swahili Revised Union Version32 Siku za Tera zilikuwa miaka mia mbili na mitano; Tera akafa katika Harani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Tera alifariki huko Harani akiwa na umri wa miaka 205. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Tera alifariki huko Harani akiwa na umri wa miaka 205. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Tera alifariki huko Harani akiwa na umri wa miaka 205. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Tera aliishi miaka mia mbili na mitano (205), akafa huko Harani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Tera alikufa huko Harani akiwa na miaka 205. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Siku za Tera zilikuwa miaka mia mbili na mitano; Tera akafa katika Harani. Tazama sura |