Mwanzo 11:1 - Swahili Revised Union Version1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Kwanza, watu wote duniani walikuwa na lugha moja na walitumia maneno yaleyale. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Kwanza, watu wote duniani walikuwa na lugha moja na walitumia maneno yaleyale. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Kwanza, watu wote duniani walikuwa na lugha moja na walitumia maneno yaleyale. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Wakati huo dunia yote ilikuwa na lugha moja na msemo mmoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wakati huo dunia yote ilikuwa na lugha moja na msemo mmoja. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja. Tazama sura |