Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 10:25 - Swahili Revised Union Version

25 Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Eberi alikuwa na watoto wa kiume wawili; wa kwanza akamwita Pelegi kwa sababu wakati huo watu duniani waligawanyika, na wa pili akamwita Yoktani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Eberi alikuwa na watoto wa kiume wawili; wa kwanza akamwita Pelegi kwa sababu wakati huo watu duniani waligawanyika, na wa pili akamwita Yoktani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Eberi alikuwa na watoto wa kiume wawili: wa kwanza akamwita Pelegi kwa sababu wakati huo watu duniani waligawanyika, na wa pili akamwita Yoktani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Eberi akapata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Eberi akapata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 10:25
10 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Shemu ambaye ni baba wa wana wote wa Eberi, na ndugu mkubwa wa Yafethi, akazaliwa wana.


Yoktani akamzaa Almodadi, na Shelefu, na Hasarmawethi, na Yera,


Hizo ndizo jamaa za wana wa Nuhu, kufuata vizazi vyao, katika mataifa yao; na kwa hao mataifa yaligawanyika katika nchi baada ya gharika.


Kwa hao nchi za pwani za mataifa ziligawanyikana kuwa nchi zao, kila moja kwa lugha yake, kwa jamaa zao, kufuata mataifa yao.


Na Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza aliitwa Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye aliitwa Yoktani.


Waliopewa hiyo nchi peke yao, Wala mgeni hakupita kati yao);


Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao;


Yeye Aliye Juu alipowapa mataifa urithi wao, Alipowabagua wanadamu, Aliweka mipaka ya watu Kwa kadiri ya hesabu ya wana wa Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo