Mwanzo 10:20 - Swahili Revised Union Version20 Hao ndio wana wa Hamu, kufuata jamaa zao, kwa lugha zao, katika nchi zao, kufuata mataifa yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Hao ndio wazawa wa Hamu kadiri ya makabila yao, lugha zao, nchi zao na mataifa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Hao ndio wazawa wa Hamu kadiri ya makabila yao, lugha zao, nchi zao na mataifa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Hao ndio wazawa wa Hamu kadiri ya makabila yao, lugha zao, nchi zao na mataifa yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Hawa ni wana wa Hamu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Hawa ni wana wa Hamu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Hao ndio wana wa Hamu, kufuata jamaa zao, kwa lugha zao, katika nchi zao, kufuata mataifa yao. Tazama sura |