Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 1:30 - Swahili Revised Union Version

30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Nao wanyama wote duniani, ndege wote wa angani, viumbe vyote vitambaavyo, naam, kila kiumbe chenye uhai, chakula chao kitakuwa majani yote ya mimea.” Ikawa hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Nao wanyama wote duniani, ndege wote wa angani, viumbe vyote vitambaavyo, naam, kila kiumbe chenye uhai, chakula chao kitakuwa majani yote ya mimea.” Ikawa hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Nao wanyama wote duniani, ndege wote wa angani, viumbe vyote vitambaavyo, naam, kila kiumbe chenye uhai, chakula chao kitakuwa majani yote ya mimea.” Ikawa hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Nao wanyama wote wa nchi, ndege wote wa angani, na viumbe vyote viendavyo juu ya ardhi: yaani kila kiumbe chenye pumzi ya uhai, ninawapa kila mche wa kijani kuwa chakula.” Ikawa hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Nao wanyama wote wa dunia, ndege wote wa angani, na viumbe vyote viendavyo juu ya ardhi: yaani kila kiumbe chenye pumzi ya uhai, ninawapa kila mche wa kijani kuwa chakula.” Ikawa hivyo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndio chakula chenu; ikawa hivyo.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 1:30
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ukajitwalie chakula cha kila namna kinacholika, ukakusanye, nacho kitakuwa ni chakula chenu na chao.


Kila kiendacho kilicho hai kitakuwa chakula chenu, kama nilivyowapa mboga za majani, kadhalika nawapa hivi vyote.


Makinda yake nayo hufyonza damu; Na pale iliko mizoga ndiko aliko.


Watoto wao wako katika hali nzuri, hukua katika bara wazi; Huenda zao, wala hawarudi tena.


Upana wa milima ni malisho yake, Hutafutatafuta kila kitu kilicho kibichi.


Mwangalie huyo kiboko, niliyemwumba pamoja nawe; Yeye hula nyasi kama ng'ombe,


Hakika milima humtolea chakula; Hapo wachezapo wanyama pori wote.


Huyameesha majani kwa makundi, Na maboga kwa matumizi ya mwanadamu; Ili atoe chakula katika nchi,


Humpa mnyama chakula chake, Wana-kunguru waliao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo