Mika 7:7 - Swahili Revised Union Version7 Lakini mimi, nitamtazamia BWANA; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini mimi namtumainia Mwenyezi-Mungu, namtazamia Mungu mwenye kuniokoa; Mungu wangu atanisikiliza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini mimi namtumainia Mwenyezi-Mungu, namtazamia Mungu mwenye kuniokoa; Mungu wangu atanisikiliza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini mimi namtumainia Mwenyezi-Mungu, namtazamia Mungu mwenye kuniokoa; Mungu wangu atanisikiliza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Lakini mimi, namtazama Mwenyezi Mungu kwa matumaini, namngoja Mungu Mwokozi wangu; Mungu wangu atanisikia mimi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Lakini mimi, namtazama bwana kwa matumaini, namngoja Mungu Mwokozi wangu; Mungu wangu atanisikia mimi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Lakini mimi, nitamtazamia BWANA; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia. Tazama sura |