Mika 6:12 - Swahili Revised Union Version12 Kwa maana matajiri wake wamejaa jeuri, na wenyeji wake wamesema uongo, na ulimi wao una udanganyifu kichwani mwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Matajiri wa miji wamejaa dhuluma, wakazi wake husema uongo, kila wasemacho ni udanganyifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Matajiri wa miji wamejaa dhuluma, wakazi wake husema uongo, kila wasemacho ni udanganyifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Matajiri wa miji wamejaa dhuluma, wakazi wake husema uongo, kila wasemacho ni udanganyifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Matajiri wake ni wajeuri; watu wake ni waongo na ndimi zao zinazungumza kwa udanganyifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Matajiri wake ni wajeuri; watu wake ni waongo na ndimi zao zinazungumza kwa udanganyifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Kwa maana matajiri wake wamejaa jeuri, na wenyeji wake wamesema uongo, na ulimi wao una udanganyifu kichwani mwao. Tazama sura |