Mika 5:12 - Swahili Revised Union Version12 nami nitakatilia mbali uchawi, usiwe mkononi mwako; wala hutakuwa tena na watu wenye kutabana; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Nitatokomeza matendo yenu ya uchawi, nanyi hamtakuwa tena na wapiga ramli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Nitatokomeza matendo yenu ya uchawi, nanyi hamtakuwa tena na wapiga ramli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Nitaziharibu sanamu zenu, na nguzo zenu za ibada; nanyi mtakoma kuabudu vitu mlivyotengeneza wenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Nitaangamiza uchawi wenu, na hamtapiga tena ramli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Nitaangamiza uchawi wenu na hamtapiga tena ramli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 nami nitakatilia mbali uchawi, usiwe mkononi mwako; wala hutakuwa tena na watu wenye kutabana; Tazama sura |