Mika 4:5 - Swahili Revised Union Version5 Kwa maana mataifa yote watakwenda, kila moja kwa jina la mungu wake, na sisi tutakwenda kwa jina la BWANA, Mungu wetu, milele na milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mataifa mengine hufuata njia zao, kwa kuitegemea miungu yao, lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, milele na milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mataifa mengine hufuata njia zao, kwa kuitegemea miungu yao, lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, milele na milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mataifa mengine hufuata njia zao, kwa kuitegemea miungu yao, lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, milele na milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mataifa yote yanaweza kutembea katika jina la miungu yao; sisi tutatembea katika jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wetu milele na milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mataifa yote yanaweza kutembea katika jina la miungu yao; sisi tutatembea katika jina la bwana Mungu wetu milele na milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kwa maana mataifa yote watakwenda, kila moja kwa jina la mungu wake, na sisi tutakwenda kwa jina la BWANA, Mungu wetu, milele na milele. Tazama sura |