Mika 3:4 - Swahili Revised Union Version4 Ndipo watakapomwomba BWANA, asiwaitikie; naam, atawaficha uso wake wakati huo, kwa kadiri walivyotenda mabaya kwa matendo yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wakati unakuja ambapo mtamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini yeye hatawajibu. Atauficha uso wake wakati huo, kwa sababu mmetenda mambo maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wakati unakuja ambapo mtamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini yeye hatawajibu. Atauficha uso wake wakati huo, kwa sababu mmetenda mambo maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wakati unakuja ambapo mtamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini yeye hatawajibu. Atauficha uso wake wakati huo, kwa sababu mmetenda mambo maovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kisha watamlilia Mwenyezi Mungu, lakini hatawajibu. Wakati huo atawaficha uso wake kwa sababu ya uovu waliotenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kisha watamlilia bwana, lakini hatawajibu. Wakati huo atawaficha uso wake kwa sababu ya uovu waliotenda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Ndipo watakapomwomba BWANA, asiwaitikie; naam, atawaficha uso wake wakati huo, kwa kadiri walivyotenda mabaya kwa matendo yao. Tazama sura |