Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mhubiri 9:16 - Swahili Revised Union Version

16 Ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; lakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Basi, mimi nasema, hekima ni bora kuliko nguvu, ingawa hekima ya maskini haithaminiwi, na maneno yake hayasikilizwi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Basi, mimi nasema, hekima ni bora kuliko nguvu, ingawa hekima ya maskini haithaminiwi, na maneno yake hayasikilizwi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Basi, mimi nasema, hekima ni bora kuliko nguvu, ingawa hekima ya maskini haithaminiwi, na maneno yake hayasikilizwi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Kwa hiyo, nikasema, “Hekima ni bora kuliko nguvu.” Lakini hekima ya maskini imedharauliwa, wala hakuna anayesikiliza maneno yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kwa hiyo, nikasema, “Hekima ni bora kuliko nguvu.” Lakini hekima ya maskini imedharauliwa, wala hakuna anayesikiliza maneno yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; lakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.

Tazama sura Nakili

Mhubiri 9:16
13 Marejeleo ya Msalaba  

Mali ya tajiri ndio ngome yake; Ufukara wa maskini ndio umwangamizao.

Mwenye hekima huupandia mji wao wenye nguvu; Na kuziangusha nguvu za tumaini lao.

Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo;

Ushauri ni wangu, na maarifa yaliyo sahihi; Mimi ni ufahamu, mimi nina nguvu.

Iwapo chuma hakipati, wala mtu hakinoi; Ndipo hana budi kutumia nguvu zaidi. Lakini yafaa kutumia hekima, na kufanikiwa.

Kwa maana ulinzi wa hekima ni kama ulinzi wa fedha na ubora wa maarifa ni kwamba hekima humhifadhi yeye aliye nayo.

Hekima ni nguvu zake mwenye hekima, Zaidi ya wakuu kumi waliomo mjini.

Hekima ndiyo bora kupita silaha za vita; Lakini mkosaji mmoja huharibu mema mengi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo