Mhubiri 5:7 - Swahili Revised Union Version7 Maana ndivyo ilivyo katika habari za wingi wa ndoto, na ubatili, na maneno mengi; walakini wewe umche Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Ndoto zikizidi, kuna maangamizi na maneno huwa mengi. Jambo la maana ni kumcha Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Ndoto zikizidi, kuna maangamizi na maneno huwa mengi. Jambo la maana ni kumcha Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Ndoto zikizidi, kuna maangamizi na maneno huwa mengi. Jambo la maana ni kumcha Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kuota ndoto kwingi na maneno mengi ni ubatili. Kwa hiyo mche Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kuota ndoto kwingi na maneno mengi ni ubatili. Kwa hiyo simama katika kicho cha Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Maana ndivyo ilivyo katika habari za wingi wa ndoto, na ubatili, na maneno mengi; walakini wewe umche Mungu. Tazama sura |