Mhubiri 3:15 - Swahili Revised Union Version15 Yale yaliyoko yamekuwako; na hayo yatakayokuwako yamekwisha kuwako; naye Mungu huyatafuta tena mambo yale yaliyopita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kinachotukia sasa, kilikwisha tukia; kitakachotukia baadaye kilikwisha tukia; na Mungu hukifanya kitu kilekile kitukie tena na tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kinachotukia sasa, kilikwisha tukia; kitakachotukia baadaye kilikwisha tukia; na Mungu hukifanya kitu kilekile kitukie tena na tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kinachotukia sasa, kilikwisha tukia; kitakachotukia baadaye kilikwisha tukia; na Mungu hukifanya kitu kilekile kitukie tena na tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Chochote kilichopo kilishakuwepo, na kitakachokuwepo kimekwishakuwepo; naye Mungu huyaita yale yaliyopita yarudi tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Chochote kilichopo kilishakuwepo, na kitakachokuwepo kimekwishakuwepo kabla; naye Mungu huyaita yale yaliyopita yarudi tena. Tazama sura |