Mhubiri 12:4 - Swahili Revised Union Version4 Na milango kufungwa katika njia kuu; Sauti ya kinu itakapokuwa ni ndogo; Na mtu kushtuka kwa sauti ya ndege; Nao binti za kuimba watapunguzwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wakati ambapo milango ya masikio yako imezibika, na sauti za visagio ni hafifu; lakini usiku hata kwa sauti ya ndege utagutuka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wakati ambapo milango ya masikio yako imezibika, na sauti za visagio ni hafifu; lakini usiku hata kwa sauti ya ndege utagutuka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wakati ambapo milango ya masikio yako imezibika, na sauti za visagio ni hafifu; lakini usiku hata kwa sauti ya ndege utagutuka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 wakati milango ya kuingia barabarani itakapofungwa na sauti ya kusaga kufifia; wakati watu wataamshwa kwa sauti ya ndege, lakini nyimbo zao zote zikififia; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 wakati milango ya kuingia barabarani itakapofungwa na sauti ya kusaga kufifia; wakati watu wataamshwa kwa sauti ya ndege, lakini nyimbo zao zote zikififia; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na milango kufungwa katika njia kuu; Sauti ya kinu itakapokuwa ni ndogo; Na mtu kushtuka kwa sauti ya ndege; Nao binti za kuimba watapunguzwa; Tazama sura |