Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mhubiri 11:4 - Swahili Revised Union Version

4 Mwenye kuuangalia upepo hatapanda; Naye ayatazamaye mawingu hatavuna.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Anayengoja upepo hatapanda mbegu, anayesubiri mawingu yatoweke, hatavuna kitu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Anayengoja upepo hatapanda mbegu, anayesubiri mawingu yatoweke, hatavuna kitu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Anayengoja upepo hatapanda mbegu, anayesubiri mawingu yatoweke, hatavuna kitu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Yeyote atazamaye upepo hatapanda, yeyote anayeangalia mawingu hatavuna.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Yeyote atazamaye upepo hatapanda, yeyote aangaliaye mawingu hatavuna.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Mwenye kuuangalia upepo hatapanda; Naye ayatazamaye mawingu hatavuna.

Tazama sura Nakili




Mhubiri 11:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu mvivu hataki kulima wakati wa baridi; Hivyo wakati wa mavuno ataomba, hana kitu.


Mtu mvivu husema, Simba yuko nje; Nitauawa katika njia kuu.


Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, Ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda.


Mawingu yakiwa yamejaa mvua, Yataimimina juu ya nchi; Na mti ukianguka kuelekea kusini, au kaskazini, Paangukapo ule mti, papo hapo utalala.


Kama vile wewe usipojua njia ya upepo ni ipi, wala jinsi mifupa ikuavyo tumboni mwake mja mzito; kadhalika huijui kazi ya Mungu, afanyaye mambo yote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo