Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mhubiri 10:18 - Swahili Revised Union Version

18 Kwa sababu ya uvivu paa hunepa; Na kwa ulegevu wa mikono nyumba huvuja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kutokana na uvivu wa mtu, paa hubonyea; kwa sababu ya uzembe, nyumba huvuja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kutokana na uvivu wa mtu, paa hubonyea; kwa sababu ya uzembe, nyumba huvuja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kutokana na uvivu wa mtu, paa hubonyea; kwa sababu ya uzembe, nyumba huvuja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kama mtu ni mvivu, paa la nyumba huinama; kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kama mtu ni mvivu paa la nyumba huinama, kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja.

Tazama sura Nakili




Mhubiri 10:18
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mkono wa mwenye bidii utatawala; Bali mvivu atalipishwa kodi.


Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.


Mtu mvivu hataki kulima wakati wa baridi; Hivyo wakati wa mavuno ataomba, hana kitu.


Matakwa yake mtu mvivu humwua, Kwa maana mikono yake hukataa kufanya kazi.


Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.


Nasi twataka sana kila mmoja wenu aidhihirishe bidii ile ile, kwa utimilifu wa matumaini hata mwisho;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo